} });
 

 

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amefunga ndoa na Carrie Symonds katika sherehe ndogo iliyofanywa kwa siri huko Westminster Cathedral.

Boris anakuwa waziri mkuu wa kwanza kufunga ndoa akiwa anaitumikia ofisi ikiwa imepita takribani miaka 200 tangu kutokea kwa tukio la aina hiyo.

Wawili hao waliofunga ndoa May  29, 2021 huku Waziri Nadhim Zahawi akisema hakuhudhuria sherehe hiyo lakini amewatakia kheri katika ndoa yao.

Ingawa Boris alishawahi kufunga ndoa mara mbili, Kanisa Katoliki linaruhusu watalaka kufunga ndoa nyingine iwapo viapo vya ndoa za zamani vililiwa nje ya kanisa hilo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top