} });
 

 

Klabu ya Al Wahda ya nchini Libya, imemsajili mshambuliaji wa Tanzania, Adam Adam, mwenye umri wa miaka 24.

Kabla ya usajili huo, Adam Adam alikuwa akiitumikia klabu ya JKT Tanzania na hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao Saba katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/2021 na magoli 13 msimu uliopita.

Al Wahda inashiriki Ligi Kuu ya nchini Libya.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top