} });
 


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amesema hadi sasa kuna askari 61 wamefukuzwa kazi baada ya kuthibitika kuwa wamekuwa wakiwatendea vibaya wananchi wanaoingia hifadhini.

Amewataka watu wengine wenye ushahidi wa wananchi kutendewa vibaya na Askari wa hifadhi wapeleke ushahidi ili askari husika wachukuliwe hatua.

Kutokana na changamoto ya wananchi kupeleka mifugo yao hifadhini na kusababisha mapambano kati ya wananchi na Polisi. Waziri amewataka viongozi kuwaelimisha wananchi ili waache tabia ya kupeleka mifugo hifadhini.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top