Mahakama Kuu ya Tanzania, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe pesa walizolipa kama faini, kiasi cha shilingi milioni 350.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
Kwa habari zaidi endelea kufuatilia blog yetu.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment