} });
 

 

Leo June 28, 2021 Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali. Nyagali alikuwa akituhumiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4 baada ya upande wa mashtaka kushindwa kutoa ushahidi.

Juni 14, 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya iliahirisha kutoa hukumu dhidi ya kesi yake kwa kile kilichoelezwa kuwa hukumu bado haijakamilika pamoja na mambo mengine ambayo yalikuwa nje ya uwezo wa Hakimu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top