
Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 11, 2021 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Luhumbi anahamia Mkoa wa Mwanza na Albert Chalamla uteuzi wake umetenguliwa.

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment