} });
 


Ni Headlines za mkali wa Hip Hop Belcalis Marlenis Almánzar maarufu kama Cardi B ambae baada ya kuonekana  Fast and Furious msimu wa tisa sasa habari njema ni kwamba ataonekana tena katika msimu wa 10 inayotarajiwa kuachiwa Mwaka 2022.

Akihojiwa na mtandao maarufu nchini Marekani Vin Diesel alisema hawakutegemea kama Cardi B ataonesha uwezo mkubwa katka Fast and Furious ya msimu wa tisa sasa wamependa husika wake na ujasiri wake kwahiyo mashabiki wa wakae tayari kumuona tena katika msimu mwingine mpya wa Fast & Furious 10 mwaka 2022.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top