} });
 


“Tabia ya kufungia vyombo vya habari, tukubali tukatae vyombo vya habari ni CAG mwingine, tusitake tu kutolewa habari za kufurahisha lazima tukubali na kukosolewa zote ni habari za kujenga Taifa letu, ukifungia Gazeti moja ina maana umesimamisha zaidi ya wafanyakazi 50” Mbunge Esther Bulaya akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Mchezo kwa mwaka 2021/2021.

“Unaweka hizo familia katika hali ngumu, faini imekuwa kama chanzo cha mapato, unamtoza mtu faini kubwa, mtoze mtu faini kidogo ajirekebishe sio faini kiwe chanzo cha mapato” Mbunge Esther Bulaya

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top