} });
 

 

Ni Headlines za filamu ya Fast and Furious ya 9 ambayo tangu izinduliwe imeweza kutengeneza kiasi cha Dolla (USD 70M) ambazo ni sawa na kiasi cha fedha za kitanzania TSH BILIONI 162.3 katika wiki ya kwanza ilipozinduliwa katika nchi mbili ikiwemo Canada na Marekani.

Filamu hiyo imeweka rekodi hiyo ya mauzo ama kuwa kwenye orodha ya filamu zilizoingiza pesa nyingi katika kipindi cha Janga la Ugonjwa wa Corona (COVID 19), filamuu hiyo imeigizwa na mastaa mbalimbali akiwemo Vin Diesel, John Cena, Cardi B, Ludacris, Helen Mirren,Sung Kang, Nathalie Emmanuel na wengineo

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top