} });
 


Miongoni mwa stori zinazochukua headlines nchini Marekani ni kuhusu gari la Marehemu Paul Walker ambalo limeripotiwa na vyombo mbalimbali kwamba linauzwa kwa dola za  kimarekani 550,00 ambazo ni sawa na pesa za kitanzania takribani bilioni 1.2

Gari hilo lenye usajili wa namba MK4 toyota Supra limethibitishwa ndio lililokuwa likitumiwa na Marehemu Paul Walker, Paul alifarika mnamo mwaka 2013 kwa ajali ya Gari katika mji wa California.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top