} });
 


CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma kuwa Jumanne tarehe 29 Juni 2021 kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kitafanyika chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.


Kikao hicho cha kawaida kwa mujibu wa kalenda ya vikao kitafanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu, Jijini Dodoma.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top