} });
 


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akizungumza na Wanahabari Jijini Dodoma kuelekea siku ya Mtoto wa Afrika amesema miongoni mwa mambo yatakayofanyika ni kuzindua Baraza la Mtoto la Taifa litakalo muwezesha Mtoto kutambua haki zake.

Waziri Gwajima amesema kuelekea maadhimisho hayo kutafanyika uzinduzi wa Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo mkoani Dodoma kama shughuli ya Kitaifa na mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango.

“Akili ya mtoto inatakiwa iandaliwe iweze kukubali na kukataa mafunzo ya kuficha vitendo vya ukatili ukimfanyia nyumbani atakwenda kuvisema shuleni maana ifike mahala hata kumpiga uombe ruhusa” Waziri Gwajima

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top