} });
 

 

Ni headlines za kampuni ya Facebook ambapo time hii imeweka rekodi mpya ya kuwa na thamani ya (USD 1 Trillion), unaambiwa soko la hisa la kampuni hiyo limekuwa kwa asilimia 30% mwaka huu licha ya kuwa na changamoto ya Janga la Ugonjwa wa Corona (COVID 19).

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali wanasema kampuni hiyo inaingia katika nafasi ya tano ya Kiteknolojia nchini Marekani kwa kufikisha thamani hiyo kwenye soko baada ya makampuni mengine yakiwemo Apple, Amazon na mengineyo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top