} });
 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan awaapisha makatibu tawala na wakuu wa taasisi wateule, ikulu Dodoma. Viongozi wateule ni: A.Waziri 1. Mhe. Capt. (MST) George Huruma Mkuchika(Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu B. Makatibu Tawala wa Mikoa 1. Balozi Batilda Salva Burian kuwa Katibu Tawala wa Shinyanga 2.Mwl. Doroth Aidan Mwaluko kuwa Katibu Tawala Singida 3.Bw. Ngusa Dismas Samike kuwa Katibu Tawala Mwanza 4.Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo kuwa Katiba Tawala Mkoa wa Katavi 5.Dkt. Athuman Juma Kihamia kuwa Katibu Tawala Arusha 6.Bw. Hassan Abasi Rugwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam 7.Dkt.Fatuma Ramadhan Mganga Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma 8.Bw. Musa Ramadhani Chogero kuwa Katibu Tawala wa Geita 9.Mhandisi Mwanasha Rajabu Tumbo kuwa Katibu Tawala wa Pwani 10.Bi. Prisca Joseph Kayombo Kuwa Katibu Tawala wa Simuyu 11. Bi.Pili Hassan Mnyema Kuwa Katibu Tawala wa Tanga - Viwanja vya Ikulu Chamwino-Dodoma - Muda saa 4:00 Asb. [02-June-2021] #KaziIendelee​ #SSH​

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top