} });
 


Timu nyingi zimerusha karata zao kwenye michezo ya kwanza ya michuano ya EURO 2020, wa kufungwa, amefungwa, wakutoka sare vile vile.

 

Mwezi mzima huu mechi za kibabe kuendelea na ndani ya wiki hii kutakuwa na mechi kubwa zenye odds bomba sana kutoka Meridianbet, bashiri sasa!

 

Jumanne hii, kutakuwa na mechi ya kati ya Hungary na Portugal, Hungary wapo kwenye kundi la kifo na hawapewi uzito sana, je wataweza kuwashangaza kina Ronaldo? Meridianbet imekuwekea odds ya 1.53 kwa Portugal kwa ajili yako.

 

Jumanne hiyo hiyo, kutakuwa na mechi kubwa kuliko, France iliyo na mastaa kibao watakuwa wenyeji dhidi ya Ujerumani yenye mastaa vilevile. Meridianbet imekuwekea odds ya 2.65 kwa France. Nani atashinda mechi hii? Bashiri sasa!

 

Jumatano hii, baada ya kupigwa 3-0 na Belgium mechi ya kwanza, Russia watakuwa kibaruani kucheza na Finland ambao walishinda mechi ya kwanza, Meridianbet wameweka odds ya 1.75 kwa Russia ili uwe Tajiri.

 

Usiku huo huo wa Jumatano, Italy watakuwa kibaruani dhidi ya Switzerland kutafuta ushindi wa pili. Italy wamewekewa Odds ya 1.62 na Meridianbet kwa ajili yako!

 

Alhamis nako kuna makubwa, Belgium watakuwa ugenini kucheza na Denmark, Denmark watafanikiwa kushinda au watawaacha Belgium waendelee ubabe wa kundi? Belgium wamewekewa Odds ya 2.10 ili kukufaidisha!

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top