} });
 


TAARIFA mbaya leo hii iliyochapishwa kwenye tovuti mbalimbali za habari za kimataifa ni kwamba, mgunduzi wa McAfee; ambayo ni antivirus kwa ajili ya kulinda kompyuta na virusi,


John McAfee (75), amekutwa amefariki dunia, Mtaalam huyo alikutwa amekufa ndani ya chumba chake gerezani nchini Hispania.


Tukio hilo limefuata saa chache baada ya mamlaka kuruhusu apelekwe Marekani kuhukumiwa kwa makosa yanayomkabili, ambapo alishitakiwa kwa makosa ya kodi na angeweza kufungwa jela miaka 30.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top