} });
 


Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Dk. Chrisant Mzindakaya amefariki Dunia jana June 7, 2021 Saa 9 na robokatika hospitalini Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.

Taarifa ya kifo cha Mzee Mzindakaya kimethibitishwa na Afisa uhusiano wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili Aminiel Eligaisha

Mzindakaya ni mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali serikali.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top