} });
 


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Suleiman Mwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida akichukua nafasi ya Kenan Kihongosi ambaye amepangiwa majukumu mengine (Katibu Mkuu UVCCM).


Rais Samia amemteua pia Lupakisyo Kapange kuwa DC wa Bariadi Mkoani Simiyu akichukua nafasi ya Charles Mhina ambaye atapangiwa majukumu mengine.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top