} });
 

 

Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia.

Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema watu waamue kupata Chanjo au atalazimika kuwapeleka gerezani.

Kauli yake inakinzana na ile ya Maafisa wake wa Afya ambao wamesema licha ya kwamba Wananchi wanasisitizwa kupata Chanjo, suala hilo ni hiari.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top