} });
 

 

Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Juni 26 ya kila mwaka imesema serikali haina mpango wa kuruhusu kilimo cha bangi na kama ikiruhusu ni Taasisi za Utafiti zitaruhusiwa.

Akizungumza na waaandishi wa habari Gerald Musabila Kusaya Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya amesema mpaka sasa Serikali haina mpango wowote wa kuruhusu kilimo hicho.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top