} });
 


Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika.

Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela yake.

Amesema mambo mengine yote yatakuwa ‘programmed’ vizuri ili kuepusha watu kupanga foleni ya kwenda kulipa kodi ya pango.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top