} });
 

 

Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata amefika mpaka Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma mahali ambako ulitokea mgomo wa Wafanyabiashara waliokuwa wakiwatuhumu Maafisa wa TRA kuwabambikizia kodi pale wanaposhindwa kuwapa rushwa.

Baada ya kufika Kamishna Kidata amezungumza na Wafanyabiashara hao ambapo wamefikia makubaliano ya kwamba wasifunge maduka waendelee na shughuli zao huku akiwapatia Wataalamu kwa ajili ya elimu zaidi juu ya ulipaji kodi.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top