
Rais Samia Suluhu Hassan amewafuta kazi mkuu wa Wilaya ya Morogoro na mkurugenzi wa halmashauri hiyo baada ya kuchukizwa jinsi walivyoshughulikia suala la wafanyabiashara wadogo wilayani humo.
Akizungumza jana Jumanne Juni 15, 2021 katika mkutano wake na vijana uliofanyika mkoani Mwanza, Rais Samia amemwagiza Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu kutekeleza agizo lake la kutengua uteuzi wa viongozi hao.

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment