} });
 

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameeleza kutoridhishwa na utendajikazi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) na kuagiza kusimamishwa kwa Meneja na Mkuu wa Kitengo cha Sheria cha Taasisi Hiyo

“Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda (Dotto James) waondoe hapa Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sara Mwaipopo na Meneja Uwezeshaji Grace Lemunge kwa sababu wanafanya kazi kwa mazoea na urasimu mkubwa. Hapa hatuhitaji urasimu, tunataka wawekezaji.” Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top