} });
 

 

Jumatatu ya June 14, 2021 tuliona nyota wa Ureno, Cristiano alivyomiliki vichwa vya habari baada ya kuondoa chupa za Kinywaji cha Coca Cola kwenye meza na kuwataka mashabiki wake kunywa maji na kitendo hicho kilisababisha hasara ya kampuni hiyo ya pesa za kitanzania Trilioni 9.2 ndani ya siku moja ambazo ni sawa na dolla za kimarekani ($4 bilioni).

Sasa mchezaji mwingine alierudia kitendo kama cha Cristiano ni Paul Pogba ambapo ameonekana kuondoka kinywaji cha  Heineken, unaweza ukatazama hapa

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top