![]() |
Jeshi la serikali FARDC wakipambana na waasi wa ADF NALU Mashariki mwa DRC |
Zaidi ya Raia 14 wameuawa na zaidi ya nyumba 20 kuteketezwa na watu wanaodhaniwa kuwa waasi wa Uganda ADF, usiku wa Jana kuamkia juma tatu ya tarehe 28 Juni katika kijiji cha Idohu – Manjobe, kilomita 90 Kusini magaribi mwa Jiji la Bunia mkowani Ituri.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment