} });
 


Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022.

Taifa hilo limesema lipo katika majadiliano kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa baadhi ya watu watakaokwenda Qatar.

Licha ya kwamba inatarajiwa Mataifa mengi yatakuwa yamechanja Raia wake hadi kufikia mwakani, Qatar imesisitiza itaendelea kuchukua hatua ili michuano hiyo ifanyike kwa mafanikio.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top