} });
 

 

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Rais wa shirikisho hilo, baada ya kukidhi vigezo vyote. Karia anawania nafasi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kuongoza kwa miaka minne.

 

Katiba ya TFF inasema “kama ikitokea mgombea wa Urais amebaki peke yake na amekizi vigezo basi hatopigiwa kura na badala yake ataenda kuthibitishwa na wajumbe wa Mkutano mkuu” Kwa maana hiyo Wallace Karia atasubiri kuthibitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kubaki peke yake.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top