} });
 

 

Bungeni jana katika kipindi cha maswali Kwa Waziri Mkuu, Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya Nchi kuwa makontena hayo yanasafirshwa kihalali.

“Watanzania kuyaona makontena yakipita na hofu ya awali nataka niwaondolee kuwa makontena yale yameshauzwa tayari na yule ni mnunuzi kwa hiyo waondoe mashaka juu ya usafirishaji wa makontena hayo yenye makinikia kwa sababu Serikali iko makini sana inayo timu palepale kwenye mgodi kwa ajili ya uhakiki lakini pia ya mauzo na kuhakikisha fedha inalipwa na hakuna kontena linatoka nchini bila kuuzwa lakini pia tumeweka timu bandari hakuna kontena linaibiwa” Majaliwa

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top