Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew ametengua uteuzi wa Meneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTC...
NDUMBARO ASISITIZA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Watanzania kujipanga kutumia Nishati ya Mkaa mbadala kwani kwa kufanya hivyo ...
MABASI MAWILI YAGONGANA KISHA YAINGIA KORONGONI, MAJERUHI WAKIMBIZWA HOSPITALINI
Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri katika Mabasi mawili tofauti kutoka Mbeya kwenda Tunduma wamejeruhiwa katika ajali ya Barabarani ene...
YANGA YAMREJESHA MAHADHI, AANZA NA KAGAME
S TRAIKA wa Yanga, Juma Mahadhi, amerejea kikosini na atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya Kombe la Kagame inayoan...
SABABU LAMINE KUVUNJIWA MKATABA YANGA
I metajwa nidhamu ndiyo sababu iliyomuondoa nahodha na beki wa kati wa Yanga, Mghana, Lamine Moro kwenye usajili wa msimu ujao. Hiyo ik...
SERIKALI YAKANUSHA KULAZIMISHA WATUMISHI KUCHANJWA
SERIKALI imesema haijatoa maelekezo ya kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanjo ya Corona kama ambavyo imezushwa na wahalifu kupitia...
TANZANIA U-23 MABINGWA CECAFA 2021 (+PICHA)
Timu ya Taifa ya Tanzania imtwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Chalenji ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kw...
ALIYEMUUA ASKARI ARUSHA AFARIKI AKIJARIBU KUWATOROKA POLISI
Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo cha Polisi Mbughuni Wilayani Arumeru, Jacob Kideko a...
ADAMU MWENYE WAKE WAWILI AMBAKA MWANAFUNZI
Mahakama ya Wilaya ya Serengeti imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela Adamu Matera (22) mkazi wa kijiji cha Remung’orori kwa kosa la kumbaka ...
“GWAJIMA NI WA KUMUELIMISHA” NAIBU AFYA
Naibu Waziri wa Afya Tanzania Dr. Godwin Mollel amesema mwitikio wa Watanzania kutaka kupata chanjo ya corona ni mkubwa na hadi sasa ni zaid...
BOSS MPYA TANROADS ATANGAZWA ATAKAECHUKUA NAFASI YA MFUGALE
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amemteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) akichukua nafasi ya Mar...
GUEST HOUSE YATEKETEA KWA MOTO, MMOJA AFARIKI
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Bayo anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 40 hadi 49 mwenyeji wa Babati mkoani Arusha, ...
RASMI: MO DEWJI ATOA BILIONI 20
“Kwa miaka minne ambayo nimekuwa Simba SC tayari nimeshatoa zaidi ya Tsh bilioni 21.3, kila mwaka ninatoa zaidi ya Tsh bil 5.3, kwa ajili ya...
MO DEWJI ARUSHA DONGO “HAKUNA MKUBWA KULIKO SIMBA”
“Hii taasisi iendeshwe kwa uwazi na nidhamu ya hali ya juu, hakuna mtu mkubwa kuliko Simba, tumeikuta sisi tutakufa tutaiacha. MO ni mdogo...
NUGAZ: SIKULALA SIKU TATU, NILILAZWA HOSPITALI
Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Young Africans Antonio Nugaz amesema kuwa baada ya klabu hiyo kupoteza mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho ...
DIWANI WA CCM WILAYANI WANGING'OMBE AFARIKI DUNIA
Diwani wa Kata ya Luduga iliyopo wilayani Wanging'ombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa m...
HATIMA YA CHADEMA BILA FREEMAN MBOWE
Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka ya ugaidi ambay...
WAZIRI KALEMANI AAGIZA MKANDARASI AKAMATWE
Waziri wa Nishati Dk Medard Kaleman, akizungumza na wananchi. Waziri wa Nishati, Dk Medard Kaleman ameagiza kusakwa na kukamatwa kwa mkandar...
RAIS MWINYI AFANYA UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu katika Taasisi mbali mbali ...
AFIA GESTI KWA KUNYWA VIDONGE VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya...
IGP SIRRO AWATAKA WANANCHI MSIDANGANYWE KUHUSU CHANJO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro , amewataka wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wa chache au kikundi c...
JOHN MNYIKA KUZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JULAI 31
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho Jumamosi tarehe 3...
WAZIRI UMMY ATOA SIKU 7 UCHUNGUZI VIFO VYA WANAFUNZI 3 MPWAPWA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchunguz...