} });
 

 

Usiku wa Kuamkia leo imefanyika Listening party ya album mpya ya Kanye West iitwayo  Donda kwenye Uwanja wa Mercedes Benz huko Atlanta nchini Marekani.miongoni mwa vitu vilivyowasuprise watu waliofika katika listening Party hiyo ni kwamba Rapa Jay Z ni kati ya wasanii waliosikika kwenye album hiyo mpya.

Unaambiwa Jay Z ameandika Verse masaa 4 tu kabla ya kufanyika kwa sherehe ya kusikilizwa kwa album hiyo iliyopewa jina la DONDA ambayo inatarajiwa kuachiwa leo Ijumaa July 23, 2021.

Mastaa wengine watakaosikika kwenye Album ya DONDA ni pamoja na Playboi Carti, Baby Keem, Travis Scott, Jeremih, Vorry, Lil Durk, Roddy ricch, Marehemu Pop Smoke, Lil baby na Wengine wengi

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top