
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amemteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) akichukua nafasi ya Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale.
Kabla ya uteuzi Mativila alikuwa Mkurugenzi wa Barabara, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi).Rais Samia amemteua pia Prof. Yunus Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), swipe kuona taarifa yote.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment