
Chama Cha Mapinduzi(CCM)
kimesema kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao
wamekuwa wakipotosha umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa
CCM na Rais Samia Suluhu na maadili ya chama.
Taarifa iliyotolewa leo na CCM, Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka inawakikishia wanachama na Watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi iyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment