} });
 

 

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza kwamba, kongamano la katiba mpya lililopangwa kufanyika leo 21 Julai, 2021 jijini Mwanza, litafanyika kama ilivyopangwa huku wakisema kwamba kongamano la Katiba sio miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji vibali kwa mujibu wa sheria.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top