Na Nicholaus Paul Lyankando - Geita
Wilaya ya Chato iliopo mkoani Geita inatajia kufanya tamasha la utalii wa chato ili kumuenzi aliyekuwa raisi wa jamuhuri wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa siku 7.
Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa wilaya ya Chato Martha Mkupasi amesema maonyesha yatakayoanza tarehe 7 mpaka 15 mwezi wa 8 yatawanufainisha wananchi pamoja na kuitangaza Chato kiutaliii sambamba na kuendea Kumuenzi hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Aidha pia mkuu wa wilaya ya Chato Martha Mkupasi hakusita kuelezea namna maonesho hayo yatakavyoenda sambamba na maelezo ya wizara ya afya ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa corona (COVID-19).
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment