} });
 

 

Jeshi la Polisi limesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama ya kufanya vitendo vya kigaidi ikiwepo kuua Viongozi wa Serikali ambapo wenzeka 6 walishafikishwa Mahakamani.

Kama ilivyo kwa baadhi ya Watu kucheza na nyakati na matukio akaona ni vyema akimbilie Mwanza kwa kigezo cha kongamano la Katiba Mpya ili akikamatwa Umma uamini amekamatwa kwasababu hiyo”- Jeshi la Polisi

‘Hata hivyo uchunguzi unaendelea kule Mwanza kutokana na vitendo vya uvunjifu wa amani, ukibaini kuna sheria aliyovunja hatutasita pia kumfikisha Mahakamani pamoja na Viongozi wenzake wanaoshikiliwa kule-Jeshi la Polisi

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top