} });
 

 

Msemaji Mkuu wa Serikali, na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Ndugu Gerson Msigwa akihojiwa amefunguka kuhusu tozo.

“Ile tozo ambayo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anaiita ‘Tozo za Mshikamano’ dhamira yake ilikuwa ni kwamba tuna tatizo kubwa la barabara Vijijini lengo Serikali inataka kuanza safari ya kujenga barabara za lami Vijijini hili jambo ukikaa huku Dar es Salaam unaweza kuliona kama dogo lakini Vijijini huko hakuna barabara’- Gerson Msigwa

“Songea kuna kijiji ambacho kuna sehemu hakuna Mawasiliano ya barabara TANROADS waliweka lami ya kawaida sana tena sehemu korofi, huwezi amini inapofika Saa 11 jioni wanakijiji wote wanakaa pale ndio sehemu yenye staha. Ndio sehemu yao ya kutalii”- Gerson Msigwa

Ndio maana Serikali imeamua kuanza kujenga barabara hizo za lami. wakaamua kuweka tozo ili kupanua wigo wa tozo kwahiyo hii tozo imelenga kwenye eneo hilo” Msemaji Mkuu wa Serikali.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top