JOHN MNYIKA KUZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI JULAI 31 A+ A- Print Email Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho Jumamosi tarehe 31 Julai, 2021 saa 5 kamili asubuhi, makao makuu ya Chama, Kinondoni. soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment