} });
 


Ni headlines za staa anaechezea mpira wa kikapu aitwae Lebron James ambae time hii anaziandika rekodi katika mchezo huo kwa kuingiza dolla za kimarekani Bilioni 1 ambazo ni sawa na Pesa za kitanzania Trilioni 2.3.

Staa huyo anakuwa mchezaji wa kwanza wa kikapu anaeweka histori ya kuweka rekodi hiyo kupitia mchezo wa kikapu.Pia inamuigiza katika orodhaa za wachezaji mabilionea akiwemo Cristiano Ronaldo, Roger Federer, Tiger Woods, Floyd mayweather na Lionel Messi NK.Ikumbwe pia mchezaji huyo anakuwa mcheza wa kwanza wa NBA kuwa Bilionea ni baada ya kupitia  mikataba mbalimbali ya kibishara ikiwemo aliyoingia nayo makubaliano ikiwemo WALMART,NIKE,GMC ambazo ulipwa zaidi ya Bilioni 231 kwa mwaka.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top