} });
 

 

Kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC) 2021 Simba SC kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam kikitokea mkoani Kigoma kilipocheza mchezo wa Fainali dhidi ya Young Africans jana Jumapili (Julai 25), Uwanja wa Lake Tanganyika.

Wakiwa Uwanja wa Ndege wa mkoani Kigoma wachezaji na viongozi wa Simba SC walionekana kuwa na furaha huku wakionesha kombe la ubingwa kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo kuwaaga.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top