} });
 


Jamhuri Numan Jasin (17) katika kesi ya uyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.

Wakili mkuu wa serikali Tumaini Kweka ameniomba mahakaman hiyo kuahirisha kusikiliza shauri Hilo kwa kuwa shahidi ameshindwa Kufika  mahakamani kwa sababu za kiimani, kwa Imani yake yuko kwenye Ibada ya sala ya Eid Alhaj.

Usikillizaji wa ushahidi wa shahidi huyo wa pili upande wa Jamhuri utaendelea Tena Alhamisi ya Julai 22 mwaka huu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top