} });
 


Ni Msanii kutokea Nigeria mrembo Tiwa Savage ambae kupitia ukurasa wake wa instagram amewajulisha mashabiki wake kwa kumpoteza baba yake mzazi aliefariki mnano July 19, 2021.

Staa huyo kupitia ukurasa wake aliandika..’Early hours of this morning you made a peaceful transition. You fought till the very end, you really fought daddy, it’s been rough for you these past couple years but you are resting now. This is tough on me, I’m so numb, so weak.Rest In Perfect Peace my King’– Tiwa Savage


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top