} });
 

 

Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine.

Tukio limetokea baada ya mechi, wakati Polisi wakidhibiti uwepo wa mikusanyiko mikubwa ya watu jijini London ambao walikuwa wakishangilia Englang kuingia nusu fainali.

Kati yao, watatu wanatuhumiwa kuwajeruhi askari wawili. Katika mchezo huo England ilishinda 4-0.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top