Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Aidha uteuzi huo umeanza leo Julai 30, 2021.

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment