} });
 

 

NI Headlines za staa kutokea MarekaniRihanna ambae time hii anamiliki vichwa vya habari baada ya kutangaza dau linalohitajika kupangisha nyumba yake.

inaripotiwa na vyombo vya habari kwamba staa huyo ameweka wazi dau ama Pesa kwa yoyote atakaehitaji kupangisha nyumba yake ya kifahari ambapo ni dolla za kimarekani Elfu 80 ambazo ni sawa na fedha za kitanzania takribani Milioni 185 kwa mwezi.

Hapo awali staa huyo aliinunua nyumba hiyo kwa thamani ya Bilioni 30 za kitanzania na ina vyumba vitano via kulalia pamoja na mabafu 7.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top