} });
 

 

Uvumi wa Karrueche Tran kurudiana na Chris Brown ulishika vichwa vya habari duniani wikendi iliyopita, hii ni baada ya wawili hao kuonekana wakiondoka pamoja katika eneo la Six Flags Mountain mjini Los Angeles.


Wengi walisema huwenda Chris Brown amerudiana na mrembo huyo ambaye amekuwa akimuhusudu kwa muda sasa. Muda huongea na Karrueche Tran akaamua kuifata kauli hiyo kwa kukanusha uvumi huo kupitia ukurasa wa The Shade Room hapa instagram. Aliandika;

 

“Kulikuwa na hafla hapo Six Flags kwa ajili ya filamu ya ‘Space Jam’ pia kulikuwa na watu wengine wengi,” aliandika Karrueche akimaanisha kwamba alifika pale kama miongoni mwa watu maarufu ambao walialikwa kutazama filamu ya Space Jam: A New Legacy.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top