} });
 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya Covid-19 (Corona) tayari ipo nchini hivyo anayetaka kuchanjwa ruhusa kwenda kupata chanjo hiyo ili apate kinga na zimsaidie kusafiri kwenda kwenye Mataifa ambayo yanataka wanaokwenda wawe wamechanja.

Majaliwa ametoa kauli hiyo jana kwenye Baraza la Eid lililofanyika kwenye Msikiti wa Mtoro Mkoani Dar es salaam.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top