} });
 

 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamanda Muliro Jumanne limesema yeyote ambae ataingia uwanjani kwenye mechi ya Simba na Yanga July 3 hatakiwi kwenda na silaha kama bunduki, kisu, panga au jiwe lakini pia chupa za aina yoyote zimepigwa marufuku.

Kamanda Muliro pia amesema “pasipokua na sababu ya lazima Watoto wadogo wasiende uwanjani, pia magari yote yatakayoruhusiwa ni yale yenye vibali maalum na yataelekezwa maeneo ya kupangwa”

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top