} });
 

 

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuachana na mikusanyiko isiyo ya halali na kutumia barakoa kujikinga na ugonjwa wa korona, ambao unasumbua dunia katika kipindi hiki.

Ametoa kauli hiyo katika ziara yake na wadau wa kilimo cha matunda, mboga mboga, na kilimo cha maua katika iliyoandaliwa na TAHA wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

‘Ambalo sasa tumesema kwenye mkoa sasa ni kuthibiti mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, sasa hivi mikusanyiko yote lazima itafuata vibali husika na upande misiba naomba wafuate kanuni na isiyo kama sbabau ya kuongeza maambukizi ya Covid-19, naomba hili lisichukuliwe kama la Mkuu wa mkoa ni vyema tukatunza afya zetu’- RC Arusha

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top