} });
 

 

Watu wanane wanashikiliwa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Dawa za Kulevya huku miongoni mwa Watuhumiwa wakiwa ni Watumishi wa Serikali, akiwemo Askari Polisi na Maofisa TRA.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za KulevyaGerald Musabila amesema pia kuna Wanandoa ambao nao walikamatwa.

‘Katika matukio yaliyojitokeza mwezi June jumla ya watu wanane walikamatwa kujihusisha na Dawa za Kulevya na miongoni mwa watu waliokamatwa ni watumishi wa Serikali wakiwemo Askari Polisi na Maofisa TRA’– Gerald Musabila

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top